1. Kwanza weka oda yako ya manunuzi kwenye mtandao wetu.
  2. Baada ya kuweka oda yako, mtandao utakutengenezea namba ya oda yako.
  3. Tuma kiasi cha pesa sawa na bei ya kitabu unachohitaji kununua kwenda lipa namba ya VODACOM Lipa Namba: 36096327 Jina: LIPA MWANDISHI ASLAM.
    (Mitandao yote) au Halotel lipa namba 23230351 Jina: MWANDISHI ASLAM.
  4. Tutumie Meseji ya muamala wako baada ya kufanya malipo, jina lako na namba ya oda yako kwenda kwenye namba ya whatsapp +255 (0) 612 666 446 au bonyeza HAPA
  5. Baada ya kudhibitisha malipo yako, ndani ya dakika moja, kitabu chako kitakuwa tayari kwa kupakuliwa.
  6. Unaweza kupakuwa kitabu kwa kuingia katika akaunti yako ndani ya website yetu au tutakutumia ujumbe kwenye barua pepe yako ikiambatana na link ya kupakua kitabu chako ulichonunua.
  7. Zingatia, fanya malipo kulingana na bei iliyoonyeshwa katika kitabu husika.
  8. Zingatia, vitabu vyote vipo kwenye mfumo wa ebook, kwa maana ya epub kwa ajili ya simu za mkononi na pdf kwa kompyuta. Kwa hiyo kama simu yako haifungui ebup, tafadhali tunakuomba kupakua app mojawapo za kusoma epub file kutoka katika duka lako (playstore au app store) utaandika epub reader au bonyeza moja wapo ya hizi link kwa watumiaji wa android
  9. I. REASILY

II. POCKETBOOK READER

III. EPUB READER FOR ALL BOOKS

IV. READERA – BOOK READER PDF EPUB

V. LITHIUM

MAELEZO MUHIMU.

  1. Kama kutakuwa na tatizo lolote unalohitajia msaada zaidi, usisite kutuma meseji ya kuhitaji kupigiwa au ukapiga moja kwa moja kwenye namba 0713626147
  2. Zingatia kusoma kurasa muhimu kama Terms and conditions, Privacy Policy, Refund and Return Policy na Disclaimer